Mwanadada
kutoka kwenye ardhi ya Kenya Victoria Kimani ametoa dili kwa wewe
shabiki wake au unaefatilia muziki wake,ishu hii kaitangaza baada ya
wiki chache kutoa wimbo wake wa Prokoto.
Cha
kufanya ni wewe kujirekodi wakati unacheza huo wimbo we cheza staili
yoyote unayohisi inafaa kwa wimbo wa Prokoto,halafu iweke kwenye akaunti
yako ya Instagram kwa kuanza kwa #protoko na kumtag Victoriakwa jina la@victoriakimani.
Endapo staili yako itapita kwa kupata like zaidi na comment nyingi kuna kitita cha $500 ambayo sawa na laki nane za Kitanzania kwa Mshindi nafasi ni yako sasa
Tuesday, 3 June 2014
New
Victoria Kimani katoa dili,kama ukishinda laki 8 za Kitanzania zinakuhusu.
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment