Daraja Ririlo Dondoka Na Kuuwa Watu Wawili Brasil Picha ziko hapa - COW BOY BISHOO

Breaking

Saturday, 5 July 2014

Daraja Ririlo Dondoka Na Kuuwa Watu Wawili Brasil Picha ziko hapa

 Daraja limebomoka na kuua watu wawili huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa katika mji ambako mechi za nusu fainali zikitarajia kuchezwa nchini Brazil.

Tukio hilo limetokea katika mji wa Belo Horizonte wakati magari yakipita chini ya daraja ambapo moja ya malori lililokuwa limebeba gari na ujenzi na gari moja lilinasa kwa mujibu wa maafisa.
 Tukio hilo limetokea katika mji wa Belo Horizonte wakati magari yakipita chini ya daraja ambapo moja ya malori lililokuwa limebeba gari na ujenzi na gari moja lilinasa kwa mujibu wa maafisa.

No comments:

Post a Comment