Jeshi la polisi nchini Brazil limesema kuwa linawashikilia watu 11
ambao wametengeza kundi linalojihusisha na uuzaji wa tiketi za kombe la
dunia kinyume cha sheria.
Mtandao huo unadaiwa kuwa limejipatia fedha kinyume cha sheria kwa
kuuza tiketi na tayari wamefanya uhalifu huo katika viwanja vinne vya
kombe la dunia.
Baadhi ya tiketi hizo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya wadhamini
wakati nyingine zikiwa zimewekwa kwa ajili ya maafisa wa timu ya Brazil.
Polisi wanaamini kuwa baadhi ya tiketi zimeuzwa kwa watalii wa kigeni.
Wednesday, 2 July 2014
New
Kuhusu kundi la wahalifu linalouza tiketi za kombe la dunia kinyume cha sheria Brazil soma ndani zaidi
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment