Gwyneth Montenegro alikulia nchini Australia katika shule binafsi
kabla ya kwenda kuwa mmoja wa wasichana makahaba wanaolipwa pesa nyingi
zaidi akipata zaidi ya dola 2,000 kwa usiku mmoja kutoka kwa wateja
wake.
Anafafanua zaidi sababu za kujiingiza kwenye biashara hiyo moja ikiwa
ni kutokujiamini na kutaniwa sana alipokuwa shule kutokana na kuwa na
aibu sana hivyo kupelekea wanafunzi wenzie kumchokoza.
Wakati wengi wa marafiki zake waliishia kuwa madaktari na wengine
wanasheria, Gwyneth aliingia katika biashara hiyo na kufanikiwa kulala
na wanaume 10,091 na kuweka taarifa za kumbukumbu ya kila mmoja wao.
Wednesday, 2 July 2014
New
Mjue Mwanamke Aliye Jitokeza Baada Ya kutembea Na Wanaume Elfu 10 click Picha kusom
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment