Afisa wa benki ya NatWest ameshtakiwa kwa kosa la kuuza taarifa za
wateja kwa kundi la wahalifu ambapo amehurumiwa kufungwa gerezani
kwasababu ana watoto wadogo wawili.
Lekeshia Henry-Richards, 28, aliiba sahihi za wateja 150 waliokuwa wakitumia huduma binafsi katika jiji la London.
Taarifa hizo zilitumika kuwaibia wateja ambapo wateja kadhaa
wameibiwa kupitia kundi hilo la kihalifu kabla ya ishu nzima kugundulika
April mwaka huu na mwanamke huyo kufikishwa mahakamani.
Mwanamke huyo kutoka Leytonstone, Mashariki mwa London alisamehewa
kufungwa gerezani kwasababu ana watoto wadogo wawili mmoja mwenye miaka
minane na mwingine miezi 18.
Alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani na kuagizwa kufanya kazi kwa saa 90 bila malipo.
Wednesday, 2 July 2014
New
Jua kuhusu Mfanya Kazi Wa Bank Aliye Iba Sahihi Za Wateja 150 Nakuziuza Kwa Waarifu Taarifa Kuu iko Hapa click picha
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment