Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka
Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye
mashindano haya baada ya kuwa moja ya timu mbili za Africa zilizogusa
kwenye hatua nzuri kabla ya kutolewa.
Tayari timu hii imerejea nyumbani Afrika ambapo kiukweli imepokelewa
kwa shangwe sana, na naamini hata wengine wasio Waalgeria wangeipokea
timu kama hii kutokana na ilichofanya.
TOA MAONI APO CHINI
Thursday, 3 July 2014
New
Timu ya Algeria imerudi nyumbani kutokea kombe la dunia, hapa kuna picha 5 za jinsi walivyopokelewa
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment