Baada ya kuzushiwa kuwa ametofautiana na Rapper wa
Kike Iggy Azalea, Rapper kutoka Young Money Nicki Minaj ameweka wazi
kuwa hajawahikuwa na beef na msanii huyo na hana mpango a kuanzisha beef
na Iggy ilikupata umaarufu zaidi.
Nicki Minaj alipokea tuzo ya Msanii Bora wa Hiphop Wa
Kike kwenye tuzo za Bet na alishangilia kwa kucheza kama alivyocheza
Iggy kwenye video yake ya Fancy kitendo kilicho tafsiriwa kwana Diss kwa
Iggy kutoka kwa Minaj. Ukiacha kitendo hicho pia inasemekana Nicki
aliwahi kukashifu kitendo cha Iggy kuandikiwa mistari na mtu asiyetaka
kutajwa. Waandishi hawa huitwa GhostWriters
Nicki Minaj ametumia twitter kutoa maelezo kuwa
amefuahishwa na mafanikio ya Iggy na anapenda kuona wasanii wakike
wakifanya vizuri ata zaidi yake. JIUNGE NA MIMI FACEBOOK

No comments:
Post a Comment