Umesha Iyona Shiling Miatano Ya Sarafu Tutakayo Tumia iyo apo Click Kujua Zaidi - COW BOY BISHOO

Breaking

Monday, 7 July 2014

Umesha Iyona Shiling Miatano Ya Sarafu Tutakayo Tumia iyo apo Click Kujua Zaidi

Sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni. Noti ya Mia Tano maarufu kama 'Jelo' itaendelea kutumika, ila itaondolewa taratibu katika mzunguko, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa BoT, Bw Emmanuel Boaz,

aliyeiambia Globu ya Jamii kwenye banda

la Benki Kuu katika Maonesho ya SabaSaba

jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment