Umesikia na hii ya Izzo B kumpiga msanii mchanga Iringa? - COW BOY BISHOO

Breaking

Monday, 28 July 2014

Umesikia na hii ya Izzo B kumpiga msanii mchanga Iringa?

Taarifa kutoka Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita zinasema kuwa rapa kutoka 87.8 Mbeya  Izzo B amempiga underground ambaye nae ni kutoka hukohuko Mbeya ambaye walikutana Iringa,Soudy Brown amekuja na taarifa kuhusu hii inshu

No comments:

Post a Comment