DUhu wiz noma Huyu Ndio Rapper Aliyekamatwa Mara 21 Kwa Makosa Yanayohusu Bangi Tu - COW BOY BISHOO

Breaking

Tuesday, 29 July 2014

DUhu wiz noma Huyu Ndio Rapper Aliyekamatwa Mara 21 Kwa Makosa Yanayohusu Bangi Tu



Kwenye mahojiano hivi karibuni na kituo cha television kuhusu biashara na Branding rapper maarufu kwa kazi zake kama Black and Yellow na Work Hard Play hard ‘Wiz Khalifa’ ameongelea kufanya biashara nje ya muziki nakusema yeye huchukua pesa zake na kuwekeza mahali anapojua pana maana zaidi na kutumia vizuri nafasi anazopata kutengeneza pesa.

No comments:

Post a Comment