Tunda man ameongea na millardayo.com
na kusema>>’Nilikua nafuturu jana jioni wakati naendelea kufuturu
nikapigiwa simu namba sikua nazijua kwani zilikua za maajabu
tu,sikupokea,ilipiga kama mara 30 hivi’
‘Baadae nikapokea na kisha nikaiweka mbali kidogo na mimi wakati
nasema hallow ghafla kitu kama shoti ya umeme kikaanza kutembea kwenye
viganja mpaka kwenye mkono nikakosa nguvu kabisa nikawaambia jamani
nipelekeni hospital’
‘Tukaenda hospital ya Serikali hapo Palestina,Dokta akasema huu
ugonjwa tangu ameanza kutibia watu hajakutana nao ni mara yake ya kwanza
hivyo matibabu aliyokuwa akinipatia ni kama ya mtu aliyepooza ghafla’
‘Kwa sasa namshukuru Mungu naendelea vizuri ingawa kuna dawa nimepewa
zingine nameza mara 2 kwa siku na vidonge vingine ni mara 3 kwa siku
pia nimechomwa sindano’
Hii ndiyo namba iliyompigia Tunda |
No comments:
Post a Comment