Shabiki Wa Profesa Jay Ungependa Kuwepo Kwenye Video Ya Kipi Sijasikia Ft Diamond, Pitia Hapa - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday, 11 July 2014

Shabiki Wa Profesa Jay Ungependa Kuwepo Kwenye Video Ya Kipi Sijasikia Ft Diamond, Pitia Hapa

Msanii wa Hiphop mkongwe Tanzania Profesa Jay ametoa nafasi kwa mashabiki wake watakao penda kuonekana na kumpa ushirikiano kwenye kufanikisha video ya wimo wake mpya ‘Kipi Sijasikia’ Ft Diamond. Video inafanyika weekend hii na maelezo yote yako hapa.
Profesa Jay aliweka hii post na maelezo haya kwenye Istagram Yake
kupata matukio na habari music like page yangu kupata music and news video

No comments:

Post a Comment