Soma alichokifanya Ommy Dimpoz kwenye video ya Victoria Kimani. - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday, 11 July 2014

Soma alichokifanya Ommy Dimpoz kwenye video ya Victoria Kimani.

Kwenye utengenezwaji wa video ya wimbo wa Prokoto wa Victoria Kimani ambao ndani yake kawashirikisha mastar wa Tanzania Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz umeonekana kama kukwama baada ya Ommy Dimpoz kutotokea kwenye video hiyo.
Kwa maelezo ya Victoria Kimani amedai kuwa alipompigia Ommy Dimpoz simu ili ajiandae kwa ajili ya kuwepo kwenye hiyo video alitoa visingizo kadhaa kikiwemo cha kukosa nguo na kuchagua muongozaji[director] wa video hiyo.
Soudy Brown alikuwepo wakati wa utengenezwaji wa video hiyo ambayo umefanyika siku chache nyuma,hapa kuna sauti wakati Victori kimani akiwa kakasirika na kuongea akiwa na Director wake aliyetoka nae Kenya.

No comments:

Post a Comment