Lile kundi la Hiphop lilikua linaundwa na Heavy Weight MC, Profesa Jay, Big Wille pamoja na Fanani, "Hard Blasters" ambao walikua active kuanzia miaka ya tisini hadi miaka ya 2000 mwanzoni, baada ya kuachia album iliyokuwa na ngoma kali na hit kama chemsha bongo na niamini, na kupotea kwenye ramani baada ya hapo, |
sasa
kundi hilo (HBC) linatarajiwa kurudi tena kwenye ramani ya bongo fleva
chini ya studio za Mwanalizombe zinazomilikiwa na Prof Jay.
"Hard Blasters
kipindi kirefu, kila mtu aliamua kuishi maisha yake, mi nilipoamua
kuwamba kufanya solo project kwasababu wenzangu waliokuwa slow kidogo,
na mimi kwasababu niliamua muziki uwe maisha yangu, ndio kazi yangu na
ndio maana niliacha kazi niliyoajiriwa ili nifanye mziki, ilibidi
niendelee kufanya mziki, nilishindwa kuwasubiri wenzangu, lakini
kwasababu wako tayari na wako pamoja na bado tunaishi pamoja, kila siku
ilikuwa nikiwauliza lini wanaweza wakawa tayari wanasema tutafanya
tutafanya tutafanya, lakini kila kitu kinatokea kwasababu, so the time
is now naona, watu wakae tayari tu, chamsingi watu wakae tayari tu kwa
Hard Blasters". Jay
|
Tuesday, 30 September 2014
New
News:Baada ya Fanani kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya, Prof Jay kurudisha kundi la Hard Blasters
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment