Picha Wasanii wa Serengeti Fiesta 2014 waunga na Afande Sele kwenye 40 ya Mke wake - COW BOY BISHOO

Breaking

Monday 22 September 2014

Picha Wasanii wa Serengeti Fiesta 2014 waunga na Afande Sele kwenye 40 ya Mke wake

Afande Sele, Tunda mtoto wa afande sele na mdogo wake Tunda



Leo ilikuwa ni 40 ya Mke wa Afande sele amabayo imefanyikia nyumbani kwa Afande Sele mjini Morogoro na Wasanii ambao 
watafanya show pale baadae kwenye jukwaa la #SerengetiFiesta2014 waliudhulia na kujumuika pamoja na msanii mwenzao na kubadilishana mawazo, Afande amewasii wasanii kukumbukana na kuwa pamoja sio tu kwenye matatizo nakuwaimiza waishi kwa upendo.

No comments:

Post a Comment