Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath Kivasi, wakati alipofika
kutoa pole nyumbani kwa marehemu Goigi jijini Dar es Salaam, leo Oktoba
7, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mke wa ,marehemu Prof. Amelia Kivasi, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Goigi jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 7, 2014 kwa
ajili ya kutoa pole msiba wa Prof. Rogath KIvasi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waombolezaji wakati akiondoka baada ya kutoa pole
na kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Professa Rogath Kivasi,
Goigi jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 7, 2014. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment