Sikiliza Hapa Wimbo Wa Jaden Smith Alivyochana Kama Baba Yake Will Smith - COW BOY BISHOO

Breaking

Tuesday 7 October 2014

Sikiliza Hapa Wimbo Wa Jaden Smith Alivyochana Kama Baba Yake Will Smith

Baada ya kushirikishwa kwenye wimbo wa rapper Childish Gambino ‘3005 Part 2′  Jaden Smith ameingia mtaani na kufanya video kali ya wimbo wake wa “Fast.” Kwenye hii video anaonekana akiwa amevaa T Shirt tu na kutovaa chochote chini. Wimbo unazungumzia harakati zake na maisha yake ya shule na mtaani,utakuwepo kwenye mixtap yake ya  Cool Tape, Vol. 2 .Wachambuzi wa rap wanasema amefata nyayo za baba yake kwa kurap kaka Will Smith na bila kutukana wala kutumia neno NiggerHuu ndio wimbo wenyewe Bonyeza play kusikiliza

No comments:

Post a Comment