Nuh Mziwanda Ampa Makavu Wema Sepetu Baada Ya Kusambaza Sauti Ya Uwongo Kaandika Haya Instagram - COW BOY BISHOO

Breaking

Tuesday 11 August 2015

Nuh Mziwanda Ampa Makavu Wema Sepetu Baada Ya Kusambaza Sauti Ya Uwongo Kaandika Haya Instagram

Kama Unakumbuka Kuna Sauti Iliyo Vuja Ya Wema Na Nuh Mzwanda Nuh Akimtongoza Wema Sepetu Lakini Nuh Mziwanda Alikana Akasema Yeye Wanamchafua Tu.........Sasa Leo INSTAGRAM NUH MZIWANDA KAANDIKA YAHA KWA WEMA SEPETU
Nakupa hongera kwa kufanikiwa kutoa amani katika mapenzi yangu mimi Na zuwena'maana hukua na nia njema wewe pamoja na team yako'na hata kama ingekua kweli ungemfata pembeni zuwena na kumweleza kua bwana ako anantongoza na sauti zake hizi hapa'lakini ukaona sio ishu na kuachia mitandaoni'mradi kuniaibisha mimi pamoja na na huyo unaesema unampenda sana na ni shoga yako'kingine Wema umetongozwa na wangapi hapa duniani kwann usiweke Voic note zao?yani moja kwa moja umetaka kusambalatisha mapenzi yetu na now naona mnaanza kutumana kumtongoza shishi'well madam nakupa salute zako'najua unaishi kwa amani na raha 'ila huku umekiwasha mpka mtu unakua hauna amani ya moyo na ukizingatia sijawahi hata kukaa na ww tukapga stor wala kuona undani wa mwili wangu'kipindi una kampeni uling'ang'ania sana niingie kwenye group yako ya whatsup for supporting you'kumbe unanichekea kinafiki na ulikua na mabomu yako umeyapanga kuyalipua 'sawa mama angu ila mimi nimetoa ya moyoni mwangu kwako na naamini ujumbe utakufikia mana nimeshindwa kukaa na duku duku'sisi wote binadam na hatuna garantee ya kuishi'salute kwako kwa ulichofanya

No comments:

Post a Comment